Webo anasema kuwa biashara ya asali ina faida kubwa zaidi
Ana mizinga 29 na anavuna asali mara nne kwa mwaka
Ana mapato ya takribani shlingi mia sita na arobaini elfu kila mwaka
John Webo aacha kulima miwa na kuzamia ufugaji wa nyuki
2022.02.10